1. | Angelus | [*àngelus] m. inv. ( rel. ) Malaika wa Bwana |
2. | anabbagliante | [anabbagliànte] A agg. -a dimu, -toswa B m. ( autom. ) taa za dimu, taa za kawaida za mbele, taa ya motokaa ya kuangaza chini |
3. | anacardio | [*anacàrdio] m. 1 (albero) mkorosho, mkanju, mbibo 2 (frutto) kanju (ma), bibo (ma), (immaturo) dunge (ma) 3 (seme) korosho (ma) |
4. | anacoreta | [*anacorèta] m. mtawa, sufii |
5. | anacronismo | [anacronìsmo] m. hali ya jambo kupitwa na wakati, kosa la kikronolojia, kosa la tarehe |
6. | anacronistico | [anacronìstico] agg. -a kizamani, -a kukosewa tarehe, -liopitwa na wakati Sin: superato; antiquato; fuori tempo |
7. | anagrafe | [anàgrafe] f. ofisi ya msajili (wa watu wa nchi), maandiko ya watu wa nchi |
8. | anagramma | [anagràmma] m. anagramu, neno liundawalo kwa kubadilisha herufi za neno jingine |
9. | analcolico | [analcòlico] A agg. -sio na pombe (ulevi, mvinyo), teketeke, -ororo, -epesi, -anana, laini B m. kinywaji baridi, kinywaji kisichokuwa na pombe (ulevi, mvinyo) Sin: senza alcol |
10. | anale | [*anàle] agg. -a mkundu, -a kinyo |
11. | analfabeta | [analfabèta] A agg. -siyejua kusoma wala kuandika B m. e f. mtu asiyejua (asiyeweza, asiyefundishwa) kusoma wala kuandika Sin: ignorante; illetterato |
12. | analgesico | [analgèsico] A agg. -a kutuliza maumivu B m. kituliza maumivu Sin: tranquillante; sedativo; antidolorifico |
13. | analisi | [anàlisi] f. uchanganuzi, mchanganuo, uchanganuo, uchambuzi, utafiti, kipimo: ~analisi~ del sangue kipimo cha damu, jaribio (ma), kionjo, mtengo wa kitu katika sehem… Sin: scomposizione; studio approfondito; esame 0.4 KB |
14. | analista | [analìsta] m. e f. mchanganuzi, mchambuzi Sin: psicanalista; analizzatore |
15. | analizzare | [analizzàre] tr. -changanua, -chambua, -tenga mbalimbali sehemu za kitu |
16. | analogamente | [*analogaménte] avv. vilevile, jinsi moja |
17. | analogia | [analogìa] f. analojia, tamthili, ulinganifu (ma), mfano Sin: attinenza; affinità; somiglianza |
18. | analogo | [anàlogo] agg. -linganifu, -a mfano, -a kufanana, -a kulingana, -a kulinganika |
19. | ananas | [ànanas] m. 1 (pianta) mnanasi 2 (frutto) nanasi (ma) 3 (fibra) unanasi |
20. | ananasse, ananàsso | [*ananàsse, ananàsso] m. ► ananas |