1. | atavico | [atàvico] agg. -a mababu, -a wahenga, -a zamani, -a jadi, -enye kurejea kwa tabia za asili (babu) Sin: ancestrale; istintivo; ereditario |
2. | atavismo | [*atavìsmo] m. marejeo kwa tabia ya asili, marejeo kwa tabia ya asili |
3. | ateismo | [ateìsmo] m. ukanaji Mungu, ukani wa Mungu, imani kwamba hakuna Mungu, kutosadiki kuwa yuko Mungu, makufuru Sin: incredulità; irreligiosità |
4. | ateneo | [atenèo] m. chuo kikuu, madarasa Sin: istituto superiore; accademia; università |
5. | ateo | [àteo] A agg. -a kukana Mungu B m. mkana Mungu, kafiri (ma), asiyesadiki kuwa yuko Mungu Sin: incredulo; non credente |
6. | atipico | [atìpico] agg. -sio kawaida Sin: originale; strano; anomalo |
7. | atlante | [atlànte] |
8. | atlante (1) | [atlànte] m. atlasi, kitabu cha ramani |
9. | atlante (2) | [atlànte] m. (vertebra) mfupa wa shingoni |
10. | atlantico | [atlàntico] A agg. Atlantiki B m. Atlantiki, bahari kuu inayopakana na nchi za Ulaya Afrika na Amerika |
11. | atleta | [atlèta] m. e f. 1 mwanariadha, mwanamichezo, mshindani 2 (persona robusta) mwenye maungo, kakawana (ma), (che ha cura dell'apparenza) mbeja wa kano |
12. | atletica | [atlètica] f. (michezo ya) riadha, michezo, mashindano |
13. | atletico | [atlètico] agg. 1 -a riadha, -a kuhusu mashindano ya michezo 2 ( fig.) -a miraba minne: un tipo ~ mtu wa miraba minne, -enye ukakamavu wa mwili |
14. | atmosfera | [atmosfèra] f. 1 angahewa, anga, hewa, upepo 2 (alta) uwingu (mbingu), anga 3 ( fig. , ambiente) hali, hewa ya mahali, ulimwengu, mazingira, mastakimu Sin: ambiente; aria |
15. | atmosferico | [atmosfèrico] agg. -a hewa, -a angahewa, -a anga |
16. | atollo | [atòllo] m. kisiwa cha matumbawe |
17. | atomico | [atòmico] agg. -a kiatomu, -a atomu: energia atomica nishati ya atomu armi atomiche silaha za atomu, -a kiatomiki |
18. | atomo | [àtomo] m. 1 ( chim. , fig. ) atomu, etomu 2 ( fig. ) kipande kidogo mno, uvumbi, tonoradi, atomu, (pulviscolo) kivumbi, chembe ya vumbi |
19. | atonia | [*atonìa] f. ulegevu, unyogovu Sin: rilassamento; indebolimento; debolezza |
20. | atono | [*àtono] agg. -siokazwa sauti: una sillaba atona silabi isiyokazwa |