A m.
1 umoja, ulinganifu (ma), itifaki, kiva, mpango
2 (intesa) maafikiano, mapatano, ridhaa, makubaliano, agano (ma), (ma)changamano, itifaki, masilaha, mwafaka, (fra gli abitanti di un dato luogo di agire di concerto per il bene comune) ngambi, radhi, suluhu, usululu, usikizano (ma)
3 (contratto) mapatano, maagano, ridhaa, mkataba: ~ generale sulle tariffe e sul commercio estero mkataba wa kimataifa juu ya ushuru wa forodha na biashara ~ sugli aspetti commerciali dei diritti di proprietà intellettuale mkataba wa masuala yanayohusiana na biashara na hakimiliki ya ubunifu ~ generale sul commercio estero di servizi mkataba wa kiujumla wa biashara na huduma~ di pace mkataba wa amani
4 (mum. e f.) kodi, kolezo, uzi (nyuzi)
5 (gramm.) upatanisho: d'~ -moja B agg. -moja, radhi, -linganifu C avv. kwa umoja ♦ d'~! ndiyo basi!; andare d'~ -enda sambamba, -enda sere, -patana; cosa che porta ~ patanisho (ma); essere d'~ -elekeana, -pokea, -lingamana, -agana, -kubaliana, -patana, -afikiana (na mtu kuhusu, juu ya kitu); giungere ad un ~ -tuliliana; mettersi d'~ -patana, -agana, -kubaliana, -lingamana; sono d'~ con lui (lei) namwunga mkono naye
Sin: ►concordia, ►intesa