Utalii vijijini kukaza ajira
2006-05-24
Uanzishwaji wa mpango wa utalii vijijini utachangia kwa kiasi kikubwa kuwapatia Watanzania ajira na hivyo kupunguza tatizo la umasikini nchini.
Hayo yamesemwa na mkurugenzi msaidizi wa utalii,utafiti na mafunzo katika wizara ya utalii na maliasili Bw. Aloyce Nzuki wakati wa uzinduzi wa kozi ya diploma ya usimamizi wa masuala ya utalii jijini Dar es Salaam.
Naye kaimu mtendaji mkuu wa chuo cha kitaifa cha utalii - NCT bw. Fred Msemwa amesema ili kuwezesha sekta ya utalii kukua lazima kuwe na munganisho wa kibiashara kati ya sekta ya utalii na sekta zingine za uchumi.
|
|
Il turismo nei villaggi aumenter? l'occupazione
2006-05-24
L'avvio del programma turistico nei villaggi contribuir? in modo consistente a far avere un'occupazione ai tanzaniani e a ridurre cos? il problema della povert? del paese.
E' quanto detto a Dar es Salaam dall'assistente direttore del turismo, ricerca e istruzione del ministero del turismo e delle risorse, Sig. Aloyce Nzuki, durante l'inaugurazione di un corso di diploma di supervisore di questioni turistiche.
Anche il vice direttore esecutivo dell'istituto statale del turismo - NCT [National College of Tourism] - Sig. Fred Msemwa, ha detto che per permettere al settore turistico di crescere deve esserci un collegamento economico fra il settore turistico e gli altri settori economici.
(
Nino Vessella)
|