141. | croma | [*cròma] f. ( mus. ) aina ya noti ya muziki, noti ya nane |
142. | cromatico | [cromàtico] agg. -a rangi, -a rangi za kuwaka |
143. | cromatura | [cromatúra] f. kupaka kromaiamu |
144. | cromo | [cròmo] m. ( chim. ) kromiamu |
145. | cromosoma | [cromosòma] m. ( biol. ) chembeuzi, kromosomu |
146. | cronaca | [crònaca] f. 1 ( stor. ) tarihi, tarehe, hadithi 2 (di giornale) taarifa ya habari: ~ locale taarifa ya habari za ndani; ~ nera habari wa makosa ya jinai 3 ( r… Sin: notiziario; resoconto; narrazione; illustrazione; descrizione 0.6 KB |
147. | cronicita | [*cronicità] f. hali ya kuselea, hali ya kudumu sana, hali ya kusedeka |
148. | cronico | [crònico] agg. 1 -enye sugu, sugu: malaria cronica malaria sugu, -a kudumu (sana): disoccupazione cronica ukosefu wa kazi wa kudumu sana, -a daima, -a kuendelea m… 0.7 KB |
149. | cronista | [cronìsta] m. e f. 1 ( stor. ) mwandika tarihi, mwandishi wa tarehe 2 (di giornale) mwandishi wa habari, mtoa habari, ripota (ma) 3 ( radio, TV ) mtangazaji wa t… Sin: redattore; cronachista 0.4 KB |
150. | cronistoria | [cronistòria] f. 1 tarihi 2 ( fig. ) maelezo, masimulizi, kisa Sin: resoconto; descrizione; narrazione; cronaca |
151. | cronologia | [cronologìa] f. kronolojia, taratibu ya miaka, wakati, tarehe, elimu ya miaka na mambo yafuatanavyo Sin: successione; ordine |
152. | cronologicamente | [*cronologicaménte] avv. kwa taratibu ya tarehe |
153. | cronologico | [cronològico] agg. -a wendo, -enye kufuata utaratibu wa miaka na matukio, -naofuata taratibu ya tarehe |
154. | cronometrare | [cronometràre] tr. 1 -pima muda, -dhibiti muda 2 ( sport ) -piga mwendo wa washindani wa mbio Sin: misurare |
155. | cronometro | [cronòmetro] m. kipima wakati, kronometa, kidhibiti muda, mdhibiti wa muda, saa inayoshika mwendo sahihi, meta ya kupimia sahihi wakati unavyopita Sin: cronografo; orologio |
156. | crosta | [cròsta] f. 1 gamba (ma), ganda (ma): ~ di formaggio ganda la nje la jibini; la ~ del pane ganda la mkate, utandu mgumu 2 (incrostazione) ukoga, ugaga, ukoko 3 … Sin: grumo; superficie; buccia; scorza 0.5 KB |
157. | crostaceo | [crostàceo] m. krasteshia, mnyama mwenye magamba kama kaa, kamba |
158. | crostata | [crostàta] f. pai ya jemu |
159. | crostino | [crostìno] m. mkate uliochomwa nje, kipande cha mkate kilichokaangwa au kilichokaushwa kilichowekwa kwenye supu |
160. | crotalaria | [crotalaria] |