1. | clacson | [clàcson] m. inv. honi: suonare il ~ -piga honi |
2. | clamore | [clamóre] m. 1 ► baccano 2 (indignazione, scalpore) kilio cha kupinga, makelele ya kupinga, msisimko, vurumai, mhemko Sin: cagnara; strepito; gazzarra; schiamazzo; frastuono; chiasso |
3. | clamorosamente | [*clamorosaménte] avv. kwa makelele (ma) Sin: singolarmente; eccezionalmente; straordinariamente; strepitosamente |
4. | clamoroso | [clamoróso] agg. -enye makelele, -a makelele, -enye ghasia Sin: sensazionale; eclatante; straordinario; tonante; assordante; rumoroso |
5. | clan | [clan] m. ukoo (koo), mbari, kabila, jamii ya watu wa mlango mmoja |
6. | clandestinamente | [*clandestinaménte] avv. kwa kificho, kifisifisi |
7. | clandestino | [clandestìno] A agg. -a siri, -a kifichoficho: attività clandestina mambo ya kifichoficho, -a kufichwa, - penyezevu, -erevu B m. (passeggero) mdandia |
8. | claque | [claque] f. ( teatr. ) washingiliaji walioajiriwa, wapiga makofi walioajiriwa |
9. | clarinetto | [clarinétto] m. klarineti, zumari |
10. | clarino | [*clarìno] m. tarumbeta (ma), (tipo locale con suono simile a quello del piffero) zumari |
11. | classe | [clàsse] f. 1 (gruppo) aina, jamii, babu, (astratto) jinsi, (concreto) namna 2 ( zool., bot., mat. ) jamii, aina 3 (ceto) tabaka (ma) 4 (grado, ecc.) cheo, dara… 1.2 KB |
12. | classicismo | [classicìsmo] m. mtindo utokanao na uchunguzi wa mifano ya Kiyunani na Kirumi, ujuzi wa utamaduni wa kale wa Kiyunani na Kirumi, urasimi |
13. | classicista | [classicìsta] m. e f. mwanafunzi wa Kilatini na Kiyunani cha kale, mwanazuoni wa Kilatini na Kiyunani cha kale |
14. | classicita | [classicità] f. utamaduni na elimu ya Wayunani na Warumi wa zamani, jadi |
15. | classico | [clàssico] A agg. 1 -a kiwango cha juu, bora, -enye ufasaha, -enye kujulikana, -enye kutambulika, -a jadi, -a kimapokeo, -a kuhusu utamaduni na elimu ya Wayunani na… 0.9 KB |
16. | classifica | [classìfica] f. 1 (il classificare) uanishaji, uainisho, upambanuzi, mpango kufuatana na aina mbalimbali, upango wa aina mbalimbali, mgawanyo kufuatana na aina mbal… Sin: suddivisione; ordinamento; graduatoria 0.7 KB |
17. | classificabile | [*classificàbile] agg. -a upangika aina mbalimbali Sin: catalogabile; suddivisibile; ordinabile |
18. | classificare | [classificàre] A tr. -tofautisha, -ainisha, -aini, -weka kwenye nafasi mbalimali: il suo tempo dopo tre corse lo classificò terzo alle finali jumla ya muda wake baad… 0.7 KB |
19. | classificazione | [*classificazióne] f. uainisho Sin: giudizio; elenco; suddivisione; ripartizione; catalogazione |
20. | classista | [classìsta] agg. -a kitabaka, -enye hisia ya kitabaka |