1. | cubatura | [*cubatúra] f. ukubwa wa kitu cha miraba sita Sin: volume |
2. | cubebe | [*cubèbe] m. mti kama mpilipili manga |
3. | cubico | [cúbico] agg. 1 ( geom. ) -a mchemraba, -a miraba sita 2 ( mat. ) kipeuo cha tatu: radice cubica di nove kipeuo cha tatu cha tisa, hesabu iliyozidishwa mara tatu … Sin: cuboide; cubiforme 0.4 KB |
4. | cubicolo | [*cubìcolo] m. kijichumba, kichumba cha kulala, mkato wa nyumba Sin: cella; cameretta |
5. | cubiforme | [*cubifórme] agg. -enye miraba sita iliyo sawasawa |
6. | cubismo | [cubìsmo] m. uchoraji wa kutumia maumbo ya jiometria |
7. | cubitale | [*cubitàle] agg. -a dhiraa, -a kigasha, -a mkono |
8. | cubito | [*cúbito] m. 1 ( anat. ) mfupa wa mkono 2 (gomito) kigasha, kiwiko, kisugudi 3 (unità di misura, dal gomito alla punta delle dita) dhiraa, mkono, (dal gomito alle… 0.4 KB |
9. | cubo | [cúbo] A agg. -a mchemraba B m. 1 ( geom. ) mchemraba, mchemrabasawa 2 ( mat. ) kipeo cha tatu: due al ~ mbili kwa kipeo cha tatu 3 (gomito) kitu cha miraba s… 0.7 KB |
10. | cuccagna | [cuccàgna] f. 1 (abbondanza) wingi (wa vyakula na vileo), (chakula) tele 2 (allegria) furaha, burudani, shamrashamra 3 (vita facile) wakati mwema, wakati wa heri |
11. | cuccetta | [cuccétta] f. 1 ( ferr. ) kochi linaloweza kugeuza kwa kitanda cha kulalia 2 ( naut., ferr. ) kitanda, malalio, kigono Sin: lettino |
12. | cucchiaia | [*cucchiàia] f. 1 upawa, kata, mwiko, ndoo 2 (di legno) mkamshi |
13. | cucchiaiata | [cucchiaiàta] f. kiasi cha kijiko kimoja, kadiri ya kijiko kimoja, kijiko tele |
14. | cucchiaino | [cucchiaìno] m. kijiko cha chai |
15. | cucchiaio | [cucchiàio] m. 1 kijiko (kikubwa) 2 (grosso di legno) ukombe, mkamshi 3 (cosa simile) mwiko (miiko) |
16. | cucchiaione | [*cucchiaióne] m. 1 (mestolo) upawa (pawa), kata 2 (di legno) mkamshi 3 (per gelato) kijiko |
17. | cuccia | [cúccia] f. 1 kibanda cha mbwa, nyumba ya mbwa, malale ya mbwa, malazi ya mbwa 2 ( fig.: letto) kitanda Sin: canile; letto; giaciglio |
18. | cucciarsi | [*cucciàrsi] rifl. -jibanza, -jikunja, -jikunyata, -lala chini, -lala pangoni |
19. | cucciolata | [*cucciolàta] f. mazaa ya mnyama (ma) |
20. | cucciolo | [cúcciolo] m. 1 mtoto, mdogo (di gatto) kitoto cha paka, (di cane) kitoto cha mbwa, (di cetaceo) ndama 2 (ragazzo inesperto) mtoto mjinga, mtoto mzuzu Sin: giovane inesperto; pivello; animaletto |